Friday, September 14, 2007

K-Fedeline kupokea dola 20,000 kila mwezi


Mahakama nchini marekani imeamua kuwa Britney Spears atakuwa anamlipa aliyekuwa mumewe na baba wa watoto wake wawili Kevin Fedelina dola elfu ishirini kila mwezi kwa maisha yake yote ikiwa ile wamarekani wanaita "Spouse support" .Hayo ni makubaliano yaliyopo ili kumzima moto asiendelee kugombania watoto kutoka kwa Britney.
What a bastard?

2 comments:

  1. Anonymous07:06

    Hivi hakuna hata staa mmoja wa Bongo nikazaa naye na mimi niwe nachukua hiyo hela? Da kwa kweli ni balaa...Sijui kama nikizaa na kina Ray C wa bongo wataweza kutulipa hizo hela tukililia watoto

    ReplyDelete
  2. Anonymous09:43

    Ray-C hatengenezi dola 20,000 kwa mwezi labda ukijaribu utapata shilingi elfu ishirini kwa mwezi...Tehe

    ReplyDelete

Please visit us oftenly.