Thursday, January 10, 2008

Queen time


Malkia Latifa anazidi kupendeza au kuchosha na hizo nywele..toka lini mswahili kawa blonde?!Ila gauni lake lake limetulia.

Matangazo mengine bwana


Mwanamitindo maarufu nchini marekani Marc Jacob ametoa tangazo jipya kabisaa katika kampeni yake ya kutangaza bidhaa zake mpya (nguo, viatu nk) kupitia miguu ya Victoria Beckham.Kweli watu maarufu wanafanya lolote kutengeneza hela.