Tuesday, March 24, 2009

Iron Chef Cat Cora & Wife Both Pregnant!


Ok blog yangu napenda kuandika mambo ya fashion lakini kuna habari zingine ambazo ni vigumu kuziacha zipite bila kuziandiaka hapa ili na nyie mfaidi na mambo yanayoendelea duniani. Kama tunavyoelewa kuwa Marekani na mataifa mengine wanaruhusu ndoa za watu wa jinsia moja, sasa hii hapa ni kali, huyu mwanamke maarufu ambaye ana kipindi chake cha mapishi na mkewe wote wana mimba. Walipandikizwa mbegu hospitali toka mwanamme mmoja (sperm donor) na wote wanategemea kuzaa watoto wa kiume.