Monday, February 11, 2008

She looks phenomenal


Rihanna is out and about.

Mwanamuziki wa kiingereza Amy Winehouse amejizolea tuzo 5 kati ya 6 zilizotolewa tarehe kumi mwezi wa pili mwaka huu nchini marekani ikiwa ni miaka 50 ya kuadhimisha sherehe za grammy.Winehouse pamoja na tuzo zote alipeleka nyumbani record ya mwaka, msanii mpya mzuri,wimbo wa mwaka,sauti ya pop album na sauti ya uigizaji ya mwanamke katika miziki ya pop.Amy alipokea tuzo hizo kwa kupitia video link nchini uingereza kutokana na kunyimwa visa ya kuja marekani kuhudhuria sherehe hizo.Angalia album yake inaitwa "back to black" ikiwa na nyimbo inaitwa rehab nk