Tuesday, February 26, 2008

Gauni jeusi


Nguo nyeusi wakati wote zinapendeza,wanawake mnashauriwa muwe na magauni mawili matatu meusi mazuri ya kuvaa siku ambazo unakuwa hujajiandaa.

The last king of Scotland


Forest akimsindikiza kuketi mwanadada huyu baada ya kupokea oscars jumapili iliyopita.Mimi nimevutiwa na gauni lake ambalo linaonekana kama ngozi ya nyoka.Ubunifu jamani.

Ndege wanapovaliwa kama nguo


Mi nilifiki ukiwa na hela nyingi basi hata mavazi yatakuwa mazuri lakini picha hii inaonyesha sivyo hata watu wenye hela hawajui kuchagua mavazi.Mwanadada huyu aliagiza kanga auliwe ili aweze kuvaa ngozi na mayoya yake.