Thursday, April 3, 2008

Arrested


Super modeli wa kiingereza Naomi Campbell anashikiliwa na polisi nchini Uingereza kwa kosa la kumtemea mate polisi katika uwanja wa kimataifa wa ndege ujulikanao kama Heathrow.