Friday, January 4, 2008

Magari mengine bwana


Inasemeka Newyork city wamajipatia magari madogo ya kuzunguka mjini kupunguza ghasia.Sijajua bado spidi yake ni ngapi.

Thursday, January 3, 2008

07 hottest phone


Ni kama computer ndogo mkononi ambapo sio tu utasoma email na kuchat kwenye net bali utapiga picha,sikiliza music,angalia picha,angalia ramani nk mimi sina kwa kweli sababu inauzwa $399 bei imeshuka kidogo maana ilikua $ 599 nasubiri iende $200.Watanzania angalieni si mnapenda mawasiliano?Tuwasiliane basi

HAPPY NEW YEAR EVERYBODY


How about starting New Year with some resolution.....sexy tatoo