Saturday, January 3, 2009

Heri ya mwaka mpya


Tumshukuru mwenyezi muumba wa dunia na vitu vyote vilivyopo hapa duniani kwa kutpa nafasi ya kuuona mwaka mwingine, nawatakieni wote heri ya mwaka mpya wenye furaha, afya, mafanikio na baraka. pichani nilibahatika kuwepo jijini NY na mamilioni ya watu wengine wengi tukiungana na Raisi wa zamani wa marekani Bill Clinton na mkewe kusheherekea mwaka mpya.