Thursday, June 26, 2008

Nelson Mandela atimiza miaka tisini


Tarehe 27/06/2008 mzee wetu Nelson M mandela atatimiza miaka 90 na sherehe za birthday zitafanyika mjini london.Watu wote popote pale mlipo mnaoombwa kujiunga kusheherekea pamoja na mzee wetu.Tumwombe Mwenyezi ampatie maisha marefu na afya.