Monday, August 6, 2007

Diddy anavinjari na mtoto wa kiingereza



Mwanamuziki/ mfanyabiashara maarufu nchini marekani P Diddy anafanya mpango wa kupumzika katika boat lake na mtoto wa kiingereza ambaye ni mcheza sinema hapa marekani Sienna Miller.Kulikua na maongezi ya chini chini kwa muda mrefu kuhusu uhusiano wa Diddy na Miller ambao ulipekea Diddy kutengana na mama watoto wake Kim P. Mwanamke huyo ambaye kamzalia watoto mapacha Diddy aliamua kuondoka zake baada ya kuona boyfriend wake anahangaika na wazungu.Sasa hatuna habari rasmi za romance kati ya watu hao wawili lakini uwezekano ni mkubwa maana wote wawili ni mabachela wa kutupwa.
WE HEARD YOUR STORIES DIDDY,IS IT TRUE?

1 comment:

  1. Anonymous03:58

    sisy for real hizi blogs zako ni za nguvu keep it up.yu are updating us who are in the dark places.big up

    ReplyDelete

Please visit us oftenly.