Friday, April 17, 2009

The octo mom is out and about.


Mwanamke huyu alizaa watoto wanane kwa wakati mmoja na akaweka news headlines nchini Marekani, walipa kodi kama mimi wanalalamika sana inakuwaje mtu huna kazi na unazaa watoto wengi kiasi hicho. Kwa ujumla ana watoto kumi na sita na ana miaka chini ya thelathini na hana mume au kazi. Watoto wote walipatikana kwa mbegu kupandikizwa tumboni.

1 comment:

  1. Anonymous16:37

    Angekuwa mnugu tungesema anataka child support sasa huyo sijui ana nini kwa kweli. Watoto 16 bwana yaani timu mbili za mpira na wachezaji wa akiba. anatulalia sana huyu

    ReplyDelete

Please visit us oftenly.