Wednesday, April 9, 2008

Mnaikumbuka movie ya The bodyguard?



Whitney Houston na Kevin costner wakiwa pamoja katika picha hii baada ya miaka kumi na sita tangu wacheze wote movie ya The bodyguard.Mambo mengi yamepita hapo katikati ikiwa ni pamoja na Whitney kuolewa na kichaa Bobby Brown,kashfa za madawa ya kulevya nk hapo juu kabisa ni miaka16 iliyopita katika set ya movie na nyingine hii chini ni juzi hapo walikutana katika matamasha ya mastaa.

No comments:

Post a Comment

Please visit us oftenly.