Style Pundits Everywhere
Is a Free Daily blog that delivers the latest must see photos about hottest fashion trends with the twist of spicy pop culture gossip. Organize your wardrobe today.
Huyu mwanadada anasemekana kuwa mzuri kuliko wanawake wote duniani sasa sijui alikua anafikiria nini alipoamua kuvaa hivyo na kutoka? Mrs Douptfire shoes
Hivi uzuri ni nini? Kila mtu ana definition yake. Kwanza huanza na mvuto, na kila mtu ana kitu au vitu vinavyomvutia. Kwa wanawake wengine ni morphology ya mwanaume, wapo wanaowapenda watu wanaoonekana kama wa mazoezi, warefu, wafupi, wembamba, mustach...Kwa wanaume, mvuto huanzia kwenye macho, mashavu, breasts, general body structure -umbo la nane, sita, wenye mzigo (yaani waliojazia kwa kwenda nyuma, miguu iliyoshiba N.K. Kwa hiyo kwa mtu kama mimi huyo anayesemwa mrembo hana kitu cha kunivutia, pengine kwa kuwa pia wazungu - au wanaoitwa weupe huwa hawanivutii kabisa.

ReplyDelete