Wednesday, August 29, 2007

Kwanini havai nguo za ndani?


Huyo anaonekana hapo ni bibie Britney Spears akiwa katika harakati zake mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutuonyesha vifaa vyake.

1 comment:

  1. Anonymous06:27

    Mastaa wa majuu wana vituko sana. Kila mmoja anajitahidi ajitofautishe na wengine kwa kuwa na kitu chake original. Pengine ndio hivyo ameona atembee uchi. Lakini inawezekana amevaa chupi. Si unajua vichupi vya kamba na vinavyofunika uchi tu na mchirizi wa matakoni - kama ile picha ya 'mpenzi wa Obama? Picha za hivyo zinavutia kuziangalia na zinasaidia kupunguza presha.

    ReplyDelete

Please visit us oftenly.