
Je ni kweli Oprah ameanzisha kanisa lake?Fuatilia video zake katika youtube au oprah.com ambapo anahubiri dini.Mwanamke huyu bilionea mweusi wa kimarekani ameanza kuhubiri injili baada ya kuhama kanisa alilokua anaabudu kutokukubaliana na mchungaji wake pale aliposema mungu wa wivu.Fuatilia huyo mchungaji mpya ambaye ameshapata wafuasi wengi tu.Tahadhari==ukitaka kuwa rafiki wa mmarekani usiongelee dini na siasa
No comments:
Post a Comment
Please visit us oftenly.