
Kuna rumors kwamba Jay Z na Beyonce wameoana ijumaa iliyopita 4/4/08,pichani J anaonekana akiwa mitaa bila pete wala B sasa havieleweki kwa kweli wao kila kitu ni siri.Wakati huohuo uzushi umetoka kuwa Beyonce ni mja mzito,miezi tisa haidanganyi hilo hawataweza kufanya siri.Kwa wale wapenda fasheni hebu angalia hizo raba na mikanda yake kwa karibu.
No comments:
Post a Comment
Please visit us oftenly.